Nitukio la kusikitisha sana katika kijiji cha SONGAMBELE wilaya MLELE mkoa wa KATAVI lililo tokea leo saa 7 usiku, ambapo watu wasio fahamika wamemvamia mwenyekiti wa kijiji cha songa mbele na kumtenganisha kichwa na kiwiliwili na sehemu zake zasili,Na kisha kukata mkono wake mala mbili
Baada ya kufanya kitendo icho walichukua viungo walivyo kata kutoka katika mwili wa mwenyekiti huyo na kisha kuvitia katika sufuria wakaweka maji na kisha kubandika katika moto na kuanza kuvipika
Baada ya tukio ilo watu hao walitokomea mahali pasipo julikana
Polisi wilaya ya MLELE wanaendelea na uchunguzi kubaini wausika wa tukio ilo.
Search
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
hot weekly news
toniking wed designer


No comments :
Post a Comment