Search

Wednesday, February 10, 2016

KIFO CHA MWENYEKITI WA KIJIJI CHA SONGAMBELE

No comments
Nitukio la kusikitisha sana katika kijiji cha SONGAMBELE wilaya MLELE mkoa wa KATAVI lililo tokea leo saa 7 usiku, ambapo watu wasio fahamika wamemvamia mwenyekiti wa kijiji cha songa mbele na kumtenganisha kichwa na kiwiliwili na sehemu zake zasili,Na kisha kukata mkono wake mala mbili

Baada ya kufanya kitendo icho  walichukua viungo walivyo kata kutoka katika mwili wa mwenyekiti huyo na kisha kuvitia katika sufuria wakaweka maji na kisha kubandika katika moto na kuanza kuvipika


Baada ya tukio ilo watu hao walitokomea mahali pasipo julikana

Polisi wilaya ya MLELE wanaendelea na uchunguzi kubaini wausika wa tukio ilo.

Mdada ahanguka kwa sababu ya Viatu vilefu

No comments
WADADA WENGI UPATA SHIDA KWASABU YA UVAHAJI WA VIATU VILEFU,,,,
MTAZAME MDADA UYU AMBAE ANATEMBE KWA SHIDA NA KUANGUKA
KWASABABU YA VIATU VILEFU,,,,,,
(video)
MTAZAME MDADA UYU AMBAE ANATEMBE KWA SHIDA NA KUANGUKA
KWASABABU YA VIATU VILEFU,,,


hot weekly news

toniking wed designer

toniking wed designer