hivyo mchezaji huyo wa arsenal Alexis sanchez alisema "nadhani tunaweza kushinda kombe hili la ligi na wachezaji tulionao lakini kuna aina fulani ya njaa tunaikosa tunapokua uwanjani, tunatakiwa kuingia uwanjani tukiwa kama watu ambao tumeshafungwa goli moja mbele ili tupate ari na kasi ya kutafuta ushindi"
hivyo sanches alimaliza kwa kusema kuwa anadhani waoo kama arsenal wanakosa kujiamini kama wanaweza kuwa mabingwa wa ligi hiyo kwa msimu huu wa 2015/1016."naukumbuka ssana mchezo kati yetu na manchester united mwaka jana tuliingia tukiwa na njaa ya magoli kitu ambacho kilifanya timu kucheza kwa nguvu zote na kasi ya kushambulia kiasi kwamba ndani ya dakika ishirini tu tulikua tumeshapata magoli matatu mbele"aliongeza alexis sanches,
kwasasa ligi kuuu uingerza inaongozwa na leicister city kwa point 57 ambaye pia alishindwa kupata ushindi akiwa nyumbani na kuambulia suluhu ya 2-2 dhidi ya west brom, ikifuatiwa na Tottenham kwa pointi 54 mara baada ya kukubali kichapo cha goli 1-0 kutoka kwa west ham.....

timu majonzi tupu
ReplyDelete